ĎKT. NDUMBARO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA KAULI MOJA KUHUSU UWINDAJI WA KITALII
![Image](https://1.bp.blogspot.com/-ndM98j2vJW0/YTdBKfLwiyI/AAAAAAAAABI/qcuvvRZOXXcLZa7VGPvJ5ZSlWnUXPn_HwCLcBGAsYHQ/w631-h421/Ndumbaro%2Bna%2Bwaziri%2Bwa%2BZimbabwe.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro (kuli) akizungumza na Waziri wa Utalii wa Zimbabwe kuhusiana na kuwa na bei ya pamoja ya uwindaji wa kitalii katika nchi wanachama wa SADC katika kikao pembeni katika Mkutano wa Kimataifa wa 64 wa Utalii Kanda ya Afrika ulioandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UNWTO) unaoendelea kufanyika katika kisiwa cha SAL nchini Cape Verde, Mkutano huo umewakutanisha Mawaziri wa Utalii 30 lengo likiwa ni kujadili mustakabali wa utalii Barani Afrika na Duniani kwa ujumla.